Si vyema kumtumia mwenzako emoji ya kukonyeza kupitia ujumbe. Ukaribu huo ambao mara nyingine unachochea mapenzi ya ofisi haukuwezekana wakati wa janga la corona, wakati wengi walikuwa wanafanya kazi ...
Utafiti unaonyesha kuwa mitazamo ya vijana wa kizazi cha sasa cha milenia kuhusu uchumba na ngono ni tofauti na watangulizi wao. Watu waliozaliwa kati ya mwishoni mwa miaka ya 1990 na mwanzoni mwa ...
Washauri wa masuala ya mapenzi watakweleza kwamba huwa ni kibarua kumtafuta mchumba na hasa mtu mtakayefaana maishani. Ili kumpata mpenzi ni lazima kwanza umtafute. Lakini je, ni mbinu zipi ambazo ...