Mbunge wa Kyandodo Mashariki mwa Uganda, Robert Kyagulanyi ambaye pia ni mwanamuziki maarufu nchini humo ajulikanaye kama Bobi Wine anatarajia kurudi nchini Uganda leo akitokea nchini Marekani ambapo ...
Mwanamuziki nyota kutoka Tanzania Diamond Platnumz ametofautiana na Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) kuhusu kilichotokea hadi akaachwa na ndege uwanjani mwanza. Mwanamuziki huyo anasema tamko ...
Mwanamuziki huyo nguli, kutoka Uingereza George Michael amefariki dunia akiwa nyumbani kwake akiwa na umri wa miaka 53, meneja wake ametangaza usiku wa Jumapili tarehe 25 Desemba. "Ni kwa huzuni ...
Ziara hiyo inalenga kupata msaada wa fedha kwa ajili ya bara la Afrika hasa katika kupambana na Ugonjwa wa Ukimwi miongoni mwa Mengine Mwanamuziki nyota wa mitindo ya Rock Bono ameanza ziara yake ...
Mwanamuziki mashuhuri wa Marekani Whitney Houston amefariki dunia. Polisi katika mji wa Los Angeles nchini Marekani wamesema Whitney (48), amekutwa amekufa katika hoteli ya Beverly Hills. Habari za ...
Mwanamuziki maarufu wa mitindo ya Coupé-Décalé nchini Cote d'Ivoire, Houon Ange Didier, anayejulikana kwa jina la DJ Arafat, amefariki dunia Jumatatu Agosti 12 kutokana na ajali ya barabarani ...