Katika hali inayoendelea kuzua mijadala mikubwa nchini na kimataifa, Jeshi la Polisi Tanzania limesisitiza kutohusika kwake na matukio ya utekaji na mauaji yanayoripotiwa mara kwa mara kutoka nchini ...
Jeshi la polisi nchini Tanzania limetangaza msako mkali wa kuwatafuta watu wanaowatuhumu kwa kupanga kuratibu na kutekeleza maandamano ya vurugu ya Uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 katika mikoa mbalimbali ...
Polisi nchini Tanzania, wanaoshtumiwa na wapinzani na waharakati wa kutetea haki za binadamu kwa kutekeleza mauaji ya mamia ya watu wakati wa uchaguzi mkuu mwezi uliopita, wameonya kuhusu mpango wa ...
(Nairobi) – Polisi nchini Tanzania wanaolinda Mgodi wa Dhahabu wa North Mara wamehusishwa na mauaji ya angalau watu sita na kujeruhi wengine kadhaa wakati wa migogoro na wananchi kuanzia mwezi ...