Katika miaka ya 1980 na 1990, Wamisri wengi waliitazama tamthilia Raafat Al-Haggan, ambayo ilieleza maisha ya jasusi Mmisri aliyefanya kazi ndani ya Israel na kutuma taarifa kwa nchi yake, Misri.