Akili Mnemba, AI, sasa inatumika kubaini mbinu bora za uzalishaji wa mifugo na kuongeza ufanisi katika shughuli za ufugaji. Wataalamu wanasema huu ni mwelekeo mpya unaoweza kubadilisha sekta ya ...