MSHAMBULIAJI wa Kitanzania anayekipig Wydad AC ya Morocco, Seleman Mwalimu 'Gomez' ameanza mechi ya kwanza akiwa na uzi wa ...
MSHAMBULIAJI wa Kitanzania anayekipig Wydad AC ya Morocco, Seleman Mwalimu 'Gomez' ameanza mechi ya kwanza akiwa na uzi wa ...
KIUNGO mshambuliaji wa San Jose Earthquakes ya Ligi Kuu ya Marekani (MLS), Amahl Pellegrino mwenye uraia wa Norway na asili ya Tanzania, ameanza kujinadi akionyesha anatamani kuichezea timu ...
BEKI wa kati wa Namungo, Derrick Mukombozi amefutiwa kadi nyekundu ya moja kwa moja aliyopewa katika mchezo wa Ligi Kuu Bara ...
WATANZANIA wawili wanaokipiga Ligi Kuu ya Walemavu nchini Uturuki, Ramadhan Chomelo anayekipiga Konya Amputee na Hebron ...
BEKI wa Namungo ya Lindi Derrick Mukombozi hatimaye amefutiwa kadi nyekundu ya moja kwa moja aliyopewa kwenye mchezo dhidi ya Simba.
LIGI Kuu ya Wanawake (WPL) imesimama kwa mwezi mmoja kupisha timu za taifa zinazowania tiketi ya Fainali za Kombe la Mataifa Afrika kwa Wanawake (Wafcon) 2026 zitakazofanyika Morocco.
WAKATI fulani Liverpool ilikuwa ya moto sana. Kule mbele kulikuwa na watu watatu hatari. Sadio Mane upande wa kushoto, Mo ...
NYOTA wa Stand United 'Chama la Wana', Adam Uledi amesema hajutii kitendo cha kutoka kuichezea Ligi Kuu Bara na kuhamia ...
KOCHA wa Mbeya City, Salum Mayanga amesema hadi sasa timu hiyo kutoka jijini Mbeya iko katika uelekeo mzuri kutokana na nafasi iliyopo na kuwataka nyota wa kikosi hicho kuongeza umakini ...
MSHAMBULIAJI wa Mbuni, Naku James amesema moja ya malengo yake makubwa aliyojiwekea katika ligi hii ya Championship ni ...
KIWANGO kizuri kinachoonyeshwa na mshambuliaji mpya wa Bigman FC, Said Zanda kimemwibua kocha mkuu wa timu hiyo, Zubery ...